Ujumbe wa kupiga soga
Na ujumbe wa hapo papo (IM, huduma ya
mtandao) unaweza kutuma ujumbe
mfupi, mwepesi wa maandishi kwa
watumia mtandao. Lazma ujiandikishe na
huduma, na ujisajili na huduma ya IM
unayotaka kutumia. Kwa upatikanaji wa
huduma hii, gharama na maelezo,
wasiliana na mtoa huduma wako. Menyu
zaweza kutofautiana kuligana na mtoa
huduma wako wa ujumbe wa hapo papo
(IM).
Kuungana na huduma, chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Ujumbe wa soga
na
ufuate maelezo ilio kwa kionyesho.