Nokia 6600 slide - Ujumbe wa maandishi na medianuwai

background image

Ujumbe wa maandishi na medianuwai

Unaweza kuunda ujumbe na kwa hiari

uambatishe, kwa mfano, picha. Simu yako

inajibadirishia yenyewe ujumbe wa

maandishi kuwa ujumbe wa mawasiliano

anuwai, faili ikiambatishwa.