
Kuunda maandishi au ujumbe wa
media titika
1 Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Unda ujumbe
>
Ujumbe
.
2 Kuongeza wapokeaji, tembeza kwa
nafasi ya
Kwa:
, na ungize nambari ya
mpokeaji au anwani ya barua pepe,
au chagua
Ongeza
ili kuchagua
wapokeaji kutoka kwa chaguzi
zinazopatikana. Chagua
Chaguzi
ili
uongeze wapokeaji na mada na
uweke chaguzi za utumaji.
3 Tembeza kwa nafasi ya
Maandishi:
kisha uingize maandishi ya ujumbe.
4 Kuambatanisha maandishi kwenye
ujumbe, biringiza mwambaa wa
kiambatanishi kilio chini ya kizinza na
uchague aina ya maandishi
unayotaka.
5 Kutuma ujumbe, chagua
Tuma
Aina ya ujumbe huashiriwa juu ya kiziza
na hubadilika yenyewe ikitegemea na
maandishi ya ujumbe.
Watoa huduma wanaweza wakalipisha
tofauti ikitegemea na aina ya ujumbe.
Wasiliana na mtoa hudu wako kwa
maelezo.