
Soma na jibu ujumbe
Muhimu: Kuwa mwangalifu wakati wa
kufungua ujumbe. Ujumbe unaweza
kuwa na maunzi laini mabaya au yenye
kudhuru kifaa au kompyuta yako..
Simu yako inatoa arifu ukipokea ujumbe.
Chagua
Angalia
kuonyesha ujumbe.
Kama ujumbe juu ya moja umepokewa,
kuonyesha ujumbe, chagua ujumbe
kutoka kwa kasha la kupokea na
Fungua
. Tumia kitufe cha kuvingirika
kutazama vipande vyote vya ujumbe.
Kuunda ujumbe wa kujibu, chagua
Jibu
.