Nokia 6600 slide - Tuma na panga ujumbe

background image

Tuma na panga ujumbe

Kutuma ujumbe, chagua

Tuma

. Simu

uhifadhi ujumbe kwenye folda ya

Kisanduku toa, na utumaji huanza
Zingatia: Ikoni ya ujumbe umetumwa au

maandishi kwenye skrini ya kifaa chako

haionyeshi kwamba ujumbe umepokewa

kwenye sehemu iliyotarajiwa.
Kama utumaji ujumbe utatatizwa, simu

hujaribu kutuma tena ujumbe huo mara

kadhaa. Majaribio haya yakishindwa,

ujumbe hubaki kwa folda ya Kisanduku

toa. Kughairi utumaji ujumbe, kwenye

folda ya Kisanduku toa, chagua

Chaguzi

>

Sitisha kutuma

.

Kuhifahi ujumbe uliotumwa kwenye folda

ya vitu vilivyotumwa, chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

>

Mipa. ya ujumbe

>

Mipangilio ya ujumla

>

Hifadhi uju.

u'tumwa

.

Simu uhifadhi ujumbe uliopokewa

kwenye folda ya Kisanduku pokezi. Panga

ujumbe wako kwenye folda ya vitu

vilivyohifadhiwa.
Kuongeza, kubadili jina, au kufuta folda,

chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

>

Vili'yohifadhiwa

>

Chaguzi

.