Nokia 6600 slide - Ujumbe wa maandishi

background image

Ujumbe wa maandishi

Kifaa chako hukubali ujumbe wa

maandishi kuliko kiwango cha mwisho

cha ujumbe mmoja. Ujumbe mrefu zaidi

utatumwa kama ujumbe wa pili au zaidi.

Mtoa huduma wako anaweza kudai

malipo kadri inavyotakiwa. Herufi au

alama ambazo zina lafudhi au alama

nyingine, na herufi za chaguzi za lugha

fulani, huchukua nafasi kubwa zaidi,

hivyo kupunguza idadi ya herufi

zinazoweza kutumwa kwenye ujumbe

mmoja.
Kiashirio kwenye sehemu ya juu ya kizinza

huonyesha jumla ya herufi au tarakimu na

idadi ya ujumbe unaohitajika kutuma.
Kabla uweze kutuma maandishi yoyote au

ujumbe wa barua pepe ya SMS, lazima

uhifadhi nambari yako ya kituo cha

ujumbe. Chagua

Menyu

>

Kutuma

ujumbe

>

Mipa. ya ujumbe

>

Ujumbe

w. ma'ndishi

>

Vituo vya ujumbe

>

Ongeza kituo

, ingiza jina, na nambari

kutoka kwa mtoa huduma.