Nokia 6600 slide - Ujumbe wa medianuwai

background image

Ujumbe wa medianuwai

Ujumbe wa medianuwai unawezakuwa

na maandishi, picha, pogozi za sauti au

video.
Vifaa vile tu vyenye vitu vinavyoendana

ndivyo vinaweza kupokea na kuonyesha

ujumbe wa media titika. Uonekanaji wa

ujumbe unaweza kutofautiana

kutegemea kifaa kinachopokea.
Mtandao usiotumia waya unaweza

kudhibiti ukubwa wa ujumbe wa media

titika. Iwapo picha iliyoingizwa inazidi

ukubwa huo, kifaa kinaweza kuifanya

ndogo ili iweze kutumwa kwa njia ya MMS.
Muhimu: Kuwa mwangalifu wakati wa

kufungua ujumbe. Ujumbe unaweza

kuwa na maunzi laini mabaya au yenye

kudhuru kifaa au kompyuta yako..
Kwa upatikanaji na kujiandikisha kwa

huduma ya utumaji ujumbe wa

medianuwai (MMS), wasiliana na mtoa

huduma wako. Unaweza pia kupakua

22 Wasiliana

background image

mipangilio ya usanidi.

Angalia Msaada wa

Nokia uk. 38.