Ujumbe wa sauti wa Nokia Xpress
Unda na utume ujumbe wa sauti kwa
kutumia MMS kwa njia inayofaa
1 Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Unda ujumbe
>
Ujumbe usikikao
.
Rekoda hufunguka.
2 Rekodi ujumbe wako.
Angalia
Kirekodi sauti uk. 30.
3 Ingiza namba moja au zaidi ya simu
kwenye nafasi ya
Kwa:
au chagua
Ongeza
ili kuchukua namba.
4 Ili kutuma ujumbe, chagua
Tuma
.