Nokia 6600 slide - Ujumbe wa sauti wa Nokia Xpress

background image

Ujumbe wa sauti wa Nokia Xpress

Unda na utume ujumbe wa sauti kwa

kutumia MMS kwa njia inayofaa
1 Chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

>

Unda ujumbe

>

Ujumbe usikikao

.

Rekoda hufunguka.

2 Rekodi ujumbe wako.

Angalia

Kirekodi sauti uk. 30.

3 Ingiza namba moja au zaidi ya simu

kwenye nafasi ya

Kwa:

au chagua

Ongeza

ili kuchukua namba.

4 Ili kutuma ujumbe, chagua

Tuma

.