Nokia 6600 slide - Chaguzi wakati simu inatumika

background image

Chaguzi wakati simu inatumika

Nyingi kati ya chaguzi ambazo unaweza

kutumia wakati simu inaendelea ni

huduma za mtandao. Kwa upatikanaji,

wasiliana na mtoa huduma wako.
Wakati wa simu, chagua

Chaguzi

na

kutoka kwa chaguzi zinazopatikana.
Baadhi ya chaguzi za mtandao ni

Simu

isubiri

,

Simu mpya

,

Ongezea mkutano

,

Kata simu zote

, na ifuatayo:

Tuma DTMF — kutuma msururu wa milio

Zibadilishane — ili kubadilisha kati ya

simu inayoendelea na ile inayosubiri

Hamisha — kuunganisha simu

inayosubiri na ile inayoendelea na wewe

mwenyewe kukata unganisho

Mkutano — kupiga simu ya mkutano

Ya binafsi — Kuwa na mazungumzo ya

faragha katika simu ya mkutano

Tahadhari:

Usishikilie kifaa karibu na sikio lako

wakati kipaza sauti kinatumika, kwa

sababu sauti inaweza kuwa kubwa sana.