
Logi ya simu
Kuangalia habari kwenye simu yako,
ujumbe, data, na kuoainisha, chagua
Menyu
>
Rajisi
na kutoka kwa chaguzi
zinazopatikana.
Zingatia: Ankara halisi za simu na
huduma kutoka kwa mtoa huduma wako
zinaweza kutofautiana, kutegemea aina
ya mtandao,ili kukaribisha namba ziwe
kamili kwa ajili ya bili, kodi na kadhalika.