
Mipangilio ya upigaji na upokeaji
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Upigaji
simu
na kutoka ifuatayo:
Kuchepua simu — kuelekeza simu
zinazoingia (huduma ya mtandao).
Inawezekana ukashindwa kuchepua simu
20 Wasiliana

zako iwapo baadhi ya vitendaji vya uzuiaji
simu vimewashwa.
Jibu k. kitufe ch'chote — kujibu simu
inayoingia kwa kubonyeza kwa muda
mfupi kitufe chochote, isipokuwa kitufe
cha umeme, kitufe cha kamera, vitufe vya
uchaguzi vya kushoto na kulia, au kitufe
cha kukata simu.
Kurudia kupiga y'we — Kupiga simu
tena moja kwa moja simu isipo faulu.
Simu inajaribu kupigia namba mara 10.
Video ijipige k. sauti — Simu hurudia
kiotomati simu kwa nambari moja
ambayo simu ya video ilishindwa
Usikikaji bora — kuboresha uelewekaji
wa maneno hasa kwenye mazingira
yenye kelele.
Kuita haraka — Kupigia majina na
namba za simu zilizopewa namba za
vitufe (2 mpaka 9) kwa kubonyeza na
kushikilia namba ya kitufe inayopatana
Simu kusubiri — ili kuweka mtandao
ukuarifu kuhusu simu inayoingia wakati
una simu inayoendelea (huduma ya
mtandao).
Ju'isho baada y. simu — Chagua ili
kuonyesha kwa ufupi kadri ya muda
baada ya kila simu.
Tuma utamb. wangu — Kuonyesha
namba ya simu yako kwa mtu unaye pigia
(huduma ya mtandao). Kutumia
mpangilio muliokubaliana na mtoa
huduma wako, chagua
Zil'owekwa n.
mt'dao
.
Utum. kitelezi kupiga — Ili kuweka
simu ijibu simu wakati unapofungua
slaidi na kukatisha simu wakati
unapofunga slaidi
Njia ya simu zitokazo — Kuchagua laini
ya simu ya kupigia simu kama kadi yako
ya SIM inaunga laini nyingi za simu
(huduma ya mtandao)
Kushirikiana video — kuainisha
mipangilio ya kushiriki video