Nokia 6600 slide - Piga simu

background image

Piga simu

Piga simu

Unaweza kuanza simu kwa njia kadhaa:
Kupiga simu wewe mwenyewe

Ingiza namba ya simu, pamoja na namba

ya eneo, na ubonyeze kitufe cha kuita.

Kwa simu za kimataifa, bonyeza * mara

mbili kwa kitangulizi cha kimataifa (herufi

ya + hubadilisha msimbo wa ufikiaji wa

kimataifa), ingiza msimbo wa nchi,

msimbo wa eno bila 0 inayoongoza,

ikihitajika, na nambari ya simu.

18 Wasiliana

background image

Rudia simu

Kufikia orodha ya namba zilizopigwa,

bonyeza kitufe cha mwito mara moja

kwenye modi ya kusubiri. Chagua

nambari au jina, na ubonyeze kitufe cha

mwito.
Chagua nambari kutoka kwa Majina

Tafuta jina au nambari ya simu ambayo

umehifadhi kwenye Majina.

Chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Upigaji

simu

>

Utum. kitelezi kupiga

ili

kuchukua simu kwa kutumia slaidi.
Jibu simu inayoingia

Bonyeza kitufe cha mwito, au fungua

slaidi.
Kata simu

Bonyeza kitufe cha kukata simu, au funga

slaidi.
Nyamazisha toni ya kulia

Chagua

Kimya

.

Kataa simu inayoingia

Bonyeza kitufe cha kukata simu.
Rekebisha sauti kwenye simu

Tembeza kushoto au kulia.