Ujumbe wa sauti
Sanduku la barua ya sauti ni huduma ya
mtandao na unaweza kuhitajika kujisajili
naye. Kwa taarifa zaidi, wasiliana na mtoa
huduma wako.
Piga simu kwa kisanduku cha ko cha
barua ya sauti
Bonyeza na ushikilie 1.
Hariri nambari yako ya kisanduku cha
barua ya sauti
Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Ujumbe wa sauti
>
Namba kasha la
sauti
.