Ujumbe wa video
Kisanduku cha barua cha video ni huduma
ya mtandao ambayo unaweza
kujiandikisha. Kwa taarifa zaidi, wasiliana
na mtoa huduma wako.
Piga simu kwa kisanduku cha barua
yako ya video
Bonyeza na ushikilie2.
Hariri nambari yako ya kisanduku cha
barua cha video
Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Ujumb. wa video
>
Namba kasha la
sauti
.