Upigaji njia za mkato
Pangia namba ya simu kwa mojawapo ya
vitufe vya namba, 2 hadi 9.
Angalia Pangia
upigaji njia za mkato uk. 15.
Tumia upigaji wa njia ya mkato ili kupiga
simu kwa mojawapo ya njia zifwatazo:
•
Bonyeza kitufe cha namba, kisha
kitufe cha mwito.
•
Ikiwa
Menyu
>
Mipangilio
>
Upigaji simu
>
Kuita haraka
>
Washa
imechaguliwa, bonyeza na
ushikilie kitufe cha namba.