
Upigaji wa kutumia sauti
Piga simu kwa kusema jina lililohifadhiwa
kwenye Majina.
Kwa kuwa amri za sauti zinategemea
lugha, kaba ya kupiga simu kwa kutumia
sauti, lazima uchague
Menyu
>
Mipangilio
>
Simu
>
Mipangilio ya
lugha
>
Lugha ya utambuzi
na lugha
yako.
Zingatia: Utumiaji vialama vya sauti
unaweza kuwa mgumu kwenye
mazingira yenye kelele au wakati wa
dharura, hivyo usitegemee tu kupiga simu
kwa kutumia sauti katika hali zote.
Wasiliana 19

1 Katika modi ya kusubiri, bonyeza na
ushikilie kitufe cha uchakuzi cha kulia.
Toni fupi hutoa sauti, na
Anza
kuongea irekodi
huonyeshwa.
2 Sema jina unalotaka kupiga. Ikiwa
utambuzi wa sauti utafaulu, orodha
ya zinazofanana huonyeshwa. Simu
hucheza amri ya sauti ya inayofanana
ya kwanza kwenye orodha. Kama sio
amri sahihi, tembeza kwa kiingilio
kingine.